Kutokomeza utumiaji na athari za ponografia Kanisani- Ombi

1 Wakorintho 6:19-20 Au hamjui ya kuwa mwili wenu ni hekalu la Roho Mtakatifu aliye ndani yenu, mliyepewa na Mungu? Wala ninyi si mali yenu wenyewe; maana mlinunuliwa kwa thamani. Sasa basi, mtukuzeni Mungu katika miili yenu.

1. Hatuna budi kukubali kwamba tuna shida ya ponografia katika dhehebu letu la Kimethodist na lazima tutafute njia zinawezekana za kukiri suala hili na kushughulikia shida hiyo ili kuimaliza.
2. Ponografia ufanya mwiri kuwa kiumbe kisio na uhai na aiwesezi mtu kumuona mwinge kama hekalu la Roho Mtakatifu ambaye uhizi dani ya kila mutu. Na ufanya mtu kutazama mwengine kama kikao tupu badala ya makao ya roho Mtakatifu.
3. Katika dhehebu la Kimethodist tunathibitisha kwamba Wakiristo and Makasisi wanapashwa kushikilia maadili ya hali ya juu kulingana na Kitabu cha nidhamu. Azimio hili linalipa Kanisa uwezo wa kutoa vigezo vya uwajibikaji kwa Wakiristo na Wachungaji
4. Kila Mkasisi atakiwa kua na nuru ya Mungu anayoigawa kwa jamii na kama tuna fanya pornografia, atuwezi kuisikiria nuru and Maisha ya Mungu katika hali ya juu na inapongara shaidi, sababu tumeufanya mwiri Kiumbe kisiokua na uai badala ya kuthibitisha na kuinua roho ya Mtu.
5. Azimio hi ilikua katika kitabu cha Maazimio kiliotangulia na likaondologwa mwaka wa 2016. Lakini shida aikuondokea kamwe, kwaivyo yatakiwa kushugulikiwa kila wakati. 6. Pornografia pia hufuatana na tabia zingine mbaya za kingono na mara nyingi huwa njia ya kukuza mwenendo mbaya wa kijinsia.

Download Kutokomeza utumiaji na athari za ponografia Kanisani- Ombi PDF

United Methodist Communications is an agency of The United Methodist Church

©2025 United Methodist Communications. All Rights Reserved