Tabia Mbaya ya ngono kati ya Wachunganji—OMBI

1 Petro 1:22 Mkiisha kujitakasa roho zenu kwa kuitii kweli, hata kuufikilia upendo wa ndugu usio na unafiki, basi jitahidini kupendana kwa moyo.

1. Azimio #2044 inaretwa tena kulisaidia kanisa kuwa mahari kila mutu anatendewa haki kama alivyo umbwa na mfano wa Mungu.
2. Kutabua na kuweka mipaka katika mauhusiano itasaidia viogozi wa huduma wasio makasisi na pia ambao ni makasisi; azimio ili usaidia katika huo mwerekeo.
3. Katika azimio,ufafafanuzi umewekwa kwa dhuluma za kijinsia, tabia mbaya za kijinsia,napia unyanyasaji wa kijinsia.
4. Azimio la tuelekesha katika kuanza kikosi kinachoitwa “(Interagency Sexual Ethics Task Force)” kama inavyo pendekeshwa katika kitabu cha nidhamu 2103.11.
5. Azimio ili laonyesha picha ya elimumwendo katika uhusiano kati ya makasisi na wasio makasisi ikiwemo pia uchumba (Tabia mbaya ya ngono si mpango wa kando).

Download Tabia Mbaya ya ngono kati ya Wachunganji—OMBI PDF


United Methodist Communications is an agency of The United Methodist Church

©2025 United Methodist Communications. All Rights Reserved