Kutokomeza Ujinsia Kutoka Kwa Kanisa:

Mwanzo 1:27- Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamuke aliwaumba.

1. Azimio #3443 Imesasishwa kukiri kwanmba shida hii ianendelea kuwa suala linalopatikana katika Kanisa, na takwimu zinaoyensha kuwa Ujinsia umeongezeka.
2. Azimio hili linalipa changamoto kankisa ili kuhakikisha kuwa Mikutano yote ya kilamwanka (Annual Conference) inapeana usaidizi wa kifedha kwa kila Kanisa lamtaa ili wa weze kuwaelimisha washirika wao kuhuzu suala hili na umuhimu wa kukubali Usawa wa jinsia.
3. Mukutano wa Vijana wa Kidunia ulipitisha sheria inayokubali suala hili na wana ileta kwa Mkutano Mkuu (General Conference) ili izingatigwe.Sheria hii inakamilisha ile ya Mkutano wa Vijana wa Kidunia na tunathibitisha lugha yoa, na kukiri kwamba hili ni suala ambalo linahitaji kushugulikiwa na Kanisha.

Download Kutokomeza Ujinsia Kutoka Kwa Kanisa: PDF

United Methodist Communications is an agency of The United Methodist Church

©2025 United Methodist Communications. All Rights Reserved